ONA NYOKA MWENYE VICHWA VIWILI AMBAO NI NADRA SANA KUWAONA. NYOKA WENGI HUWA NA KICHWA KIMOJA ILA HUYU IMETOKEA KUTOKANA NA MAUMBILE YASIYOKAMILIKA YA NYOKA MWINGINE HIVYO KUISHIA KUJIUNGA NA KUTUMIA KIWILIWILI KIMOJA. TATIZO NI KWENYE KULA, KUAMRISHA MWILI KUFANYA TENDO FULANI KAMA KUONDOKA, KUNG'ATA N.K. BOFYA CHINI KUIONA VIDEO (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); ...
Watalaam wa hali ya hewa wa marekani wamesema wastani wa joto la dunia la mwezi uliopita lilikuwa la kiwango cha juu kabisa tangu kuanza kwa ufuatiliaji huo. Wafuatiliaji wa masuala ya hali ya hewa wamesema iwapo joto litasalia hivyo kwa kipindi cha mwaka kilichobaki basi mwaka 2014 utakuwa umeweka rekodi ya namna yake. Huko Bonn katika ufunguzi wa...
Serikali inajitahidi kuelimisha wajawazito juu ya utunzaji kiumbe kiwapo tumboni. Wakati mwingine inatumia kampeni mbalimbali kupitia njia mbalimbali hadi mitandao ya simu kutuma ujumbe wa bure ili kujenga mazingira mazuri kwa mtoto tumboni. MIMI NAKUSHAURI KAMA UNAJIHUSISHA NA KAMPENI ZA WAJAWAZITO USIJUE KABISA NINI MAMA HUYU MJAMZITO ANAFANYA....
Mara nyingi uchukuaji wa matukio na hasa picha za kuweka kumbukumbu kwa maharusi imekuwa ni jambo muhimu saana. Kila maharusi wanabuni njia nyingi za kupiga picha ili wawe tofauti. Igeni mnavyoiga na hasa wabongo kwa kuiga ila msiige, msiijue na msione hii. ...