BIBI HARUSI NA BWANA HARUSI WA BONGO MSIIJUE NA MSIIONE HII PICHA.

05:07 0 Comments

Mara nyingi uchukuaji wa matukio na hasa picha za kuweka kumbukumbu

 kwa maharusi imekuwa ni jambo muhimu saana. 

Kila maharusi wanabuni njia nyingi za kupiga picha ili wawe 

tofauti. Igeni mnavyoiga na hasa wabongo kwa kuiga ila msiige, 

msiijue na msione hii.


africa36

0 comments:

PLEASE PLEASE PLEASE!! USIJUE HILI: UKIJUA, UTAPATA PRESHA│UTAAMKA