NINGEKUWA SERIKALI!! WAJAWAZITO DIZAINI HII MGENIKOMA. BORA SERIKALI ISIJUE
Serikali inajitahidi kuelimisha wajawazito juu ya utunzaji kiumbe kiwapo tumboni.
Wakati mwingine inatumia kampeni mbalimbali kupitia njia mbalimbali hadi mitandao
ya simu kutuma ujumbe wa bure ili kujenga mazingira mazuri kwa mtoto tumboni.
MIMI NAKUSHAURI KAMA UNAJIHUSISHA NA KAMPENI ZA WAJAWAZITO
USIJUE KABISA NINI MAMA HUYU MJAMZITO ANAFANYA.
UKIPATA PRESHA...... MIMI SIMO.
0 comments: