USIJUE HILI: MLIMA MREFU KULIKO YOOTE AFRIKA!!!! UTAUMIA MOYO
Tanzania ni moja ya nchi ambazo zinasifika kwa Amani Duniani,Tanzania ni nchi yenye watu wazuri Duniani,Tanzania ni nchi yenye watu wakarimu sana Duniani,na katika Afrika nzima hakuna mlima Mrefu kama Mlima Kilimanjaro ambao upo Tanzania.sasa basi watu wote duniani wamekaa na kutafakari,wakaona kila nchi itoe kitu ambacho ni kivutio kwa nchi yao na kivutio chenyewe kiwe na maajabu fulani,Watanzania bila ajizi wakaonelea kuuweka Mlima Kilimanjaro katika shindano hilo. Sasa mlima Kilimanjaro ni mlima mrefu kuliko yoote Tanzania.
Ebu angalia jinsi unavyovutia Mlima huu,Angalia Mungu jinsi alivyoishusha Neema hii nchini Tanzania,wazungu na mambo yao yoote waliojaaliwa kila siku wanaulilia mlima huu mrefu kuliko yote barani Afrika.
0 comments: